Monday, January 10, 2011

JINSI YA KUPUNGUZA MAFUTA MWILINI

Habarini ya leo nduguzanguni

leo hii napenda kuwaeleza dawa au juice mpya kwa ajili ya kupunguza mafuta mwilini.
hii juice si kama inapunguza mafuta mwilini tu bali pia kama umekosa kwenda haja
kubwa badala ya kutumia mapapai pia unaweza kutumia juice hii

vitu vinavyohitajika katika kutengeneza juice hii
1. ukwaju kilo moja
2. maji safi na salama lita 3.
3. Asali kiasi tu (hii inatumika badala ya sukari).

JINSI YA KUTENGENEZA.

Chukua ukwaju na weka katika chombo kisafi kikubwa cha kuweza kutosha kutengenezea hiyo juice yako.
weka maji lita 2
acha uloane kwa mda wa masaa manne hadi matano
nawa mikono yako
fikicha ule ukwaju na utoe mapeke.
chukua lita moja ya maji uliyobakiza na uweke tena kwenye juice yako ili ikamilike lita 3.
chuja juice yako
ukiwa umeshachuja kwa umakini chukua asali na uweke kisha koroga kwa mda mrefu kama dk 5 hadi 10
ili juice yako ichanganyike vizuri na asali.
kipimo cha asali utaangalia mwenyewe kama inatosha au la kwani ni badala ya sukari kwa hiyo unaweza kukadiria.
ikishakuwa tayari unaweza weka kwenye kidumu au kwenye chombo unachoona wewe kinafaa kisha weka kwenye fridge ipoe kidogo.
tumia grass moja asubuhi na grass moja jioni kabla ya kulala.

TAHADHARI:. baada ya kunywa hii juice utaharisha sana tena sana ila tumbo halitakuuma na huwezi pata mazara yeyote zaidi ya kuharisha. kwa hiyo ukijua umetumia hii juice jaribu kukaa karibu na toilet mda wote na tishu ziwepo kwa wingi. maana ni full maharibiko katika tumbo lakini ni dawa nzuri sana sana.

Friday, January 7, 2011

HIVI HII NI AMANI KWELI????

 Jamani hebu angalieni unyama huu kweli, hivi kweli hii ni amani au ni nini??
hivi kulikuwa na haja gani ya kutumia risasi za moto???

 mimi kwa jinsi niwaonavyo yalikuwa ni maandamano ya amani na wala si ya vurugu, sasa hayo mengine yametoka wapi tena???


 muangalieni huyu mama, kwa kwli inasikitisha sana sana


 mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!... very sad

 hii ni kahi kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiii!.... Tanzania tunaenda wapi????

 aaaaaaaaaaaaaaah!... mmmmmmmmmmmmmh poleni sana wana chadema na Arusha nzima kwa ujumla


 Poleni sana sana, poleni pia kwa walioumia na ndugu za marehemu waliopoteza maisha katika vurugu hizi!... may god rest them in Peace.


Sasa kuwapiga watu ndio suluhisho au ni uvunjaji wa amani????

Amani iko wapi???

Jamani hebu angalieni unyama huu, kwa kweli hii ndio amani tunayoisema kweli? jama kikwete hebu tuonee huruma wenzio kwani tunapokwenda kwa kweli ni balaa

Monday, January 3, 2011

Wedding ya kimila hiyo, jamani ilifana looooooh!... sitasahau

 Wa kwanza kushoto ni ma sister inlow kipenzi, akifuatina shemeji yangu mpendwa, then huyo short kidogo ni best man wake, masangula Kenya hapo.
 huyu ni mama mkwe jamani, mzaa chema huyoooooooo
 kushoto ni mke mwenzangu, i mean mke wa shemeji mwingine, akifuatina na wifis
Mr. J akicheza kiduku jamani akipendezesha sherehe huyooooo!..
Jamani hii ni sherehe ya shemeji yangu mpendwa huko kijijini Masangura Kenya.