Friday, January 7, 2011

HIVI HII NI AMANI KWELI????

 Jamani hebu angalieni unyama huu kweli, hivi kweli hii ni amani au ni nini??
hivi kulikuwa na haja gani ya kutumia risasi za moto???

 mimi kwa jinsi niwaonavyo yalikuwa ni maandamano ya amani na wala si ya vurugu, sasa hayo mengine yametoka wapi tena???


 muangalieni huyu mama, kwa kwli inasikitisha sana sana


 mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!... very sad

 hii ni kahi kweliiiiiiiiiiiiiiiiiiii!.... Tanzania tunaenda wapi????

 aaaaaaaaaaaaaaah!... mmmmmmmmmmmmmh poleni sana wana chadema na Arusha nzima kwa ujumla


 Poleni sana sana, poleni pia kwa walioumia na ndugu za marehemu waliopoteza maisha katika vurugu hizi!... may god rest them in Peace.


Sasa kuwapiga watu ndio suluhisho au ni uvunjaji wa amani????

No comments:

Post a Comment